Kipa Yanga atimkia Kenya.
Kipa huyo mwenye uzoeufu mkubwa alioupata akiitumikia Bandari ya Kenya lakini pia amepita katika timu za vijana za Taifa za Kenya.
Kipa huyo mwenye uzoeufu mkubwa alioupata akiitumikia Bandari ya Kenya lakini pia amepita katika timu za vijana za Taifa za Kenya.
Meridianbet imekuja na Jackport kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/
Simba wanapaswa kukumbuka jinsi walivyoifunga AS Vita na kutinga robo fainali mwaka 2019 na kutinga robo fainali wakipita katika kundi lao na Al Ahly.
Pia katika kikosi hicho amejumuishwa kiungo wa Simba Clatous Chama na pia kiungo wa Amazulu Rally Bwalya aliyekua mchezaji wa zamani wa Simba.
Baadhi ya wachezaji wengine wa Ulaya wanaocheza klabu kubwa na maarufu barani humo ambao wataungana na Sakho katika kikosi hicho ni pamoja na Gana Gueye, Khalidou Coulibaly, Pape Sarr na Keprin Diatta.
Achana na ubabe huo wa vigogo wa nchi katika msimamo wa Ligi, upande wa pili kwenye takwimu za mchezaji mmoja mmoja wachezaji wakigeni wameonekana kufanya vizuri na kuwakimbiza wazawa.
Tunaposema ushindi, tunamaanisha. Usisubiri kusimuliwa jiunge leo na Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet na ukusanye mshiko wako kila siku
Kutakua na makundi matano yenye timu nne maana yake timu shiriki ni 20. Tunawakaribisha makampuni na taasisi mbambali waje wachukue fomu ofisini kwetu pale Lumumba
Walinzi wengine wa pembeni walioitwa katika kikosi cha Stars Kibwana Shomary [Yanga], Datius Peter [Kagera Sugar] na Yahya Mbegu wa Ihefu wote hawapo katika orodha hiyo.
Tumewatembelea wenzetu wa Bodaboda ni wadau wetu hawa na sisi tumeamua kuja kuwaunga mkono kwenye kazi yao hii,