Kocha Simba: Goli la Inonga Ulikua ni Mpango wa Timu
Simba hatimae imefuta uteja mbele ya Yanga baada ya kushindwa kupata ushindi kwa miaka mitatu mfululizo kwenye mechi za Ligi Kuu
Simba hatimae imefuta uteja mbele ya Yanga baada ya kushindwa kupata ushindi kwa miaka mitatu mfululizo kwenye mechi za Ligi Kuu
Kwa ushindi huo sasa Simba wamepunguza tofauti ya alama dhidi ya vinara Yanga na sasa zimebaki alama tano pekee.
Meridianbet imeona kuna haja ya kuwaunga mkono wanawake na wasichana kwenye sekta hii ya michezo na haitaishia hapa.
Katika hatua nyingine pia Cedrik Kaze amesema timu yake ina wachezaji bora na wakubwa na ndio maana wao ni bora. Kaze amezungumza kwamba wachezaji wakubwa ndio huamua mechi kubwa na kuipa timu makombe.
Kocha huyo Mbrazil amesema kwa upande wake kandanda ni sanaa na burudani hivyo anapenda kuwaburudisha mashabiki kiwanjani akiwa na wachezaji wake bora.
Meridianbet wanakurudishia x100 ya dau lako pale ambapo tiketi yako itachanika kwa mechi moja.
Mlinzi huyo wa pembeni amekua katika kiwango kizuri katika michezo ya Ligi Kuu kutokana na uwezo wake mkubwa wa kukaba na kumbuliaji akitumia akili nyingi ndani ya uwanja.
Jiunge sasa na Meridianbet na ufaidi odds, bonasi na promosheni kabambe! Vigezo na masharti, kuzingatiwa!
Katika hatua nyingine timu hiyo ya Manispaa imeamu kumkabidhi timu hiyo kocha wa zamani na mchezaji wa zamani wa Simba Sc ili aweze kuinusuru timu isishuke daraja.
Kamwe pia amesema kwa sasa hivi wao wanakwenda kuingia katika mchezo huo bila kuifikiria Simba kwani wana wachezaji wakubwa ambao wanajua nini wafanye hivyo mchezo huo ni kama maandalizi ya mchezo wao wa robo fainali.