Yanga Watoa Ofa ya Sikukuu kwa Wananchi, Watangaza Viingilio Mapema
Yanga wanatarajia kuondoka nchin kesho alfajiri kuelekea nchini….Stori zaidi.
Yanga wanatarajia kuondoka nchin kesho alfajiri kuelekea nchini….Stori zaidi.
Msemaji huyo pia aliwashukuru Wanasimba wa Chalinze na kusisitiza Simba ni ya watu wote lakini wanajua mtihani mzito uliopo mbele yao na wapo tayari kwenda kuandika historia ya mwaka 2003 walipowatoa Zamalek.
Alli Kamwe amewaambia wapenzi na mashabiki wote wa klabu ya Yanga kila mmoja ana jukumu la kuisaidia Yanga ipate matoekea mazuri na si tu uongozi ama benchi la ufundi ndio wana hilo jukumu.
Mchezo huo utaangukia katika sikukuu ya Eid hivyo Wanasimba wamealikwa Benjamin Mkapa ili wakale pilau la sikuu na kuona jinsi Simba wanavyotimiza jambo lao mbele ya timu kubwa na bora Afrika.
Kutofanya vyema Derby inawatokea wachezaji wengi tu na tumewahi kulishuhudia hilo lakini isitoshe kuwa fimbo ya kumchapia Aucho ambaye hapana shaka ni miongoni mwa viungo bora hapa nchini kwa sasa.
Jumla ya zawadi katika awamu zote ni TZS 650,000,000, zikigawanywa mara 12,000 kwenye pesa taslimu na mizunguko ya bure.
Mechi itachezwa siku yenye baraka, naomba kuwakaribisha Watanzania wote kuja kuangalia timu mbili bora zikicheza
Awali kulikua na katazo la mashabiki katika viwanja vya soka nchini Misri kutokana na sababu za kiusalama na kupelekea michezo mingi nchini huo kuhudhuriwa kwa idadi maalum ya mashabiki.
Katika mchezo huo Yanga walifanikiwa kupiga mashuti sita yaliyolenga lango lakini yote yaliishia mikononi mwa mlinda mlango wa Simba Ally Salim huku Fiston Mayele pekee akipiga mashuti matatu yaliyolenga lango.
Meridianbet wakali wa odds kubwa na kasino ya mtandaoni yenye michezo pendwa ya sloti kama Aviator, Poker na Roulette wameongeza machaguo Zaidi 1000+ kwenye mechi hizi za Ligi ya Mabingwa