wikiendi hii na hawana maelekezo mapya ni mwendo wa kumwaga Odds kubwa ukichagua tu wanakupa na hii ni baada ya wewe kuchagua timu zako kwenye mkeka basi wao wanakupa pale ambapo utakutana na odds bomba na kubwa katika michezo mbalimbali
Ninaelewa kuwa Young Africans imeijenga upya timu yake na wanafanya vizuri wakati huu kwenye ligi ya ndani, pia wameongoza kundi lao kwenye kombe la shirikisho
katika mchezo wa mwaka 2003 langoni alikaa Juma Kaseja na kwa ujasiri mkubwa aliivusha Simba kwa kudaka mikwaju ya penati baada ya matokeo ya sare kwa michezo yote miwili hivyo basi ni Benno ama Salim atapaswa kuvaa viatu vya Manula akiwa na ujasiri wa Kaseja
Wananchi wana kila sababu yakuandika historia mpya yakutinga nusu fainali ya michuano ya Shirkisho Afrika kutokana na kikosi walichonacho lakini pia faida ya kuanzia ugenini.
Furahia michezo iliyochaguliwa na shindania mgao wako wa TZS 2,500,000. Jumla ya alama inahesabiwa kwa kujumlisha Jumla ya mizunguko iliyochezwa na mchezaji kwenye michezo
Tulipoteza nyumbani dhidi ya Raja Casablanca lakini tumekuja na mbinu mpya ambazo tunaamini zitatusaidia. Tunataka kutumia uwanja wa nyumbani kumaliza mechi
Vile vile baada ya uzinduzi wa duka hilo mitaa ya Vingunguti relini wakazi wa maeneo hayo wameonesha kufurahishwa na kitendo cha kampuni hiyo kufungua duka hilo maeneo hayo
Kama ikitokea hivyo ni dhahiri shahiri JKT Tanzania watakua wamerudisha burudani kwa wakazi wa Wilaya ya Kinondoni kwani haswa wa maeneo ya Tegeta, Bokko, Mbweni, Bunju na Kunduchi kwani ndio timu pekee yenye uwanja Wilaya ya Kinondoni.
Kuelekea mchezo huo Yanga imeondoka na kikosi chake chote cha wachezaji tegemeo huku wakiwaacha nchini nyota wake wachache kwasababu mbalimbali ikiwepo majeruhi na sababu za kiufundi.
Mwenyekiti huyo pia amesema kwa nchi hii Simba ndio ina wachezaji wenye uzoefu na michuano ya Kimataifa hivyo hana shaka wanajua nini wanatakiwa wafanye na kupata matokeo mazuri.