Yanga: Mashabiki Njooni kwa Mkapa Tuandike Historia
Namna nzuri ya kuhamasisha wachezaji na viongozi wetu ni kununua tiketi mapema, uwanja ukijaa mapema hata wachezaji wanapata morali,
Namna nzuri ya kuhamasisha wachezaji na viongozi wetu ni kununua tiketi mapema, uwanja ukijaa mapema hata wachezaji wanapata morali,
Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet imekuletea mchezo huu katika mikono yako sasa! Pata odds kubwa ukibashiri na Meridianbet.
Mkataba wake na Yanga unamalizika mapema January mwakani lakini Yanga wanataka kumuongezea mwingine ambao utamuweka hapo mpaka mwaka 2026
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 alijiunga na Pirates kutoka klabu ya King Faisal FC ya Ghana kwa mkataba wa miaka mitatu. Hii ilikuwa ni baada ya kufanya vyema katika nchini kwake Ghana kwa kufunga mabao 12 na kutoa asisti 10 katika michezo 32 katika msimu wa 2020.
Licha ya kupata ushindi mwembamba nyumbani lakini tayari Simba wameshasema watarudia ya miaka 20 nyuma walipowatoa Zamalek ya Misri
Fiston sasa ni kama Yanga wamepata mshambuliaji wa kariba yake kwani misimu kadhaa nyuma wamekua katika ukata mkubwa kupata mshambuliaji wa maana
Sababu ya kufanya hayo kupunguza ajali nyingi sana hususanI nyakati za usiku na ndiyo maana wameamua kutoa reflectors kwa madereva wa bodaboda wote waliopo jijini Dar es Salam,
Dakika 45 za kipindi cha kwanza zilikamilika bila timu yoyote kupata goli na ikamlazimu kocha wa Yanga sc kufanya mabadiliko mwanzoni tu mwa kipindi cha pili
Nae kiungo wa pembeni wa Yanga Benard Morrison akizungumza kwa niaba ya wachezaji wenzake amesema hawakwenda Nigeria kujifurahisha wanataka kushinda mchezo huo
Lakini kwa upande wa kocha Wydad alionekana kama kutokubaliana na maamuzi ya refa wa mchezo huo na atajiandaa na mchezo ujao ili ashinde na kusonga mbele hatua inayofuata.