Zamalek Waukimbia Mchezo Dhidi ya Al Ahly, Chama cha Soka Misri Chatajwa
Tangazo la kujiondoa lilikuja kupitia video ya Mortada Mansour, rais wa klabu hiyo, ambaye alifukuzwa kazi na Wizara ya Vijana na Michezo, kwenye chaneli yake ya YouTube.
Tangazo la kujiondoa lilikuja kupitia video ya Mortada Mansour, rais wa klabu hiyo, ambaye alifukuzwa kazi na Wizara ya Vijana na Michezo, kwenye chaneli yake ya YouTube.
Michezo ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa….Stori zaidi.
Tayari kocha Nabi alishasema wameshasahau matokeo yaliyopita ya mchezo wa awali hivyo wanaweka asilimia 100 katika mchezo waleo,
Wachezaji wote wako vizuri na wanajituma mazoezini na kwa pamoja tunajua bado hatujafuzu tunahitaji matokeo mazuri kesho ili tuweze kwenda hatua inayofuata,
Safari ya Wekundu wa Msimbazi Simba katika Ligi ya Mabingwa imeishia rasmi mbele ya mabingwa watetezi Wydad Casablanca baada yakuondoshwa kwa mikwaju ya penati 4-3.
Meridianbet odds kubwa mechi zote wikiendi hii lakini pia ukijisajili unapata mizunguko 50 ya bure kucheza kasino ya mtandaoni yenye sloti nyingi za ushindi.
Ni wazi Wanasimba wanategemea wachezaji wap kurudia kile kilichotokea miaka 20 nyuma yaani mwaka 2003 ambapo Mnyama alimtoa Zamalek ambae alikua bingwa mtetezi tena katika ardhi ya nyumbani kwake Misri
Nae kiungo wa pembeni wa Simba Pape Osmane Sakho akiongea kwa niaba ya wachezaji wa Simba amesema wao kama wachezaji wapo tayari kupambana ili kutimiza ndoto yakufuzu nusu fainali.
Awali timu hiyo ilikua katika wakati mgumu wakifedha na kupelekea kuwa na hatihati yakuwahi kuanza safari yakuja nchini na kupelekea kocha wao kukiri
Moja kati ya michezo pendwa na wengi ni….Stori zaidi.