Prince Dube na Simba ni Damdam

Katika msimu huu pekee Azam na Simba wamekutana mara tatu, mara mbili katika Ligi ambapo Azam alishinda mchezo wa kwanza na sare katika mchezo wapili na huu wa FA ambao Simba imetolewa.

Kongole kwa Wananchi!

Mwongoza njia Nasrdin Nabi  yeye ndie pekee alikuwa anajua ni njia gani anawapitisha japo ilikuwa na miba lakini mkapita salama kwa sare ya Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam

Stori zaidi