Kocha huyo atakaesimama katika benchi la KMC kwa mara ya pili akichukua mikoba ya Hitimana Thiery amekiri ugumu wa Ligi hiyo lakino amesema watapambana mpaka mwisho na kuibakisha timu Ligi Kuu.
Endelea kucheza: Unaweza kuendelea kucheza Plinko kwa kuweka dau jingine na kuachia chombo kingine.
Lakini siyo Kidunda peke yake wapo na wakali wengine ambao watapanda ulingoni kuonyesha ufundi wa mchezo wa ngumi, raia yetu bado tunaomba wapinzani wajitokeze kwa wingi
Huenda ukawa unajiuliza mwamba alipigaje mkwanja huu mrefu, ila ni rahisi sana alichokifanya ni kuweka dau lake dogo tu kisha akabonyeza kitufe cha kurusha ndege ya Aviator,
Nabi amesema yeye ameandaa timu yakukutana na Marumo iliyofika nusu fainali na si timu inayofanya vibaya katika ligi ya nchini kwao.
Hao ndio Marumo Gallants fc timu inayo inataka kuandika historia mbele ya Yanga sc na Yanga sc wanataka kuandika historia kupitia wao
Hiki kilichofanywa na Awesu ni uungwana kwa maana ya tafsiri ya Uungwana ni pamoja na kujali njia ulizopita na kuzipa faraja.
Stephane Aziz Ki amefanikiwa kufunga mabao matatu katika mchezo dhidi ya Kagera Sugar
Na kipigo cha mwisho ni dhidi ya Azam Fc katika nusu fainali ambapo Simba walipoteza kwa mabao mawili kwa moja na hivyo kuondoshwa kwenye kombe hilo na kuifanya Simba kutoka tena patupu msimu huu bila kombe lolote.
Adhabu hiyo imekuja baada ya mchezo kusimama kwa takribani dakika 30 hivi kutokana na hali ya uwanja ilivyokua.