Banda: Simba ni Ushindi Tuu Haina Matokeo Mengine
Simba imenisaidia sana katika maisha yangu kipindi hata wakati naondoka. Nakumbuka hata yule Dewji (Kassim) kwasasa hayupo sana mbele na timu lakini ni watu wazuri
Simba imenisaidia sana katika maisha yangu kipindi hata wakati naondoka. Nakumbuka hata yule Dewji (Kassim) kwasasa hayupo sana mbele na timu lakini ni watu wazuri
Mbinu za Profesa Nabi leo zinahitajika na ndio zitaamua leo Yanga inapata matokeo gani.
Ligi ni nzuri sana lakini nadhani tuna nafasi nyingi za kukua, ligi ina ushindani, tuna timu nzuri sana, wachezaji wazuri sana wa Kiarabu.
Wakiondoka na ndege ya Shirika la ndege la Tanzania “Air Tanzania” msafara huo umeonekana ukiwa na hamu kubwa ya kurudi na kombe la ubingwa wa Shirikisho
Aidha Feisal pia amesema hawezi tena kurudi Yanga kwani hana uhuru tena na hafurahii kufanya kazi na Wananchi hivyo ni vyema akaruhusiwa kuondoka zake akacheze sehemu nyingine.
Tangu nipo Tanzania mechi niliyocheza ikiwa na mashabiki wengi ni mechi ile ya juzi dhidi yao (fainali dhidi ya USM Algier), watu walikuwa wengi ni walitusapoti sana
Tangu Forbes waanze kuchapisha orodha ya timu zenye thamani kubwa zaidi za kandanda duniani mwaka 2004, ni Real Madrid na Manchester United pekee ndizo zimeorodheshwa katika tano bora
kwetu sisi sio jambo geni. Tulishafanya na tulifanikiwa sana. Naamini sasa tutazalisha vitu vizuri zaidi ikiwezekana zaidi ya ile ya mwanzoni.
ipo tayari kutoa kiasi cha zaidi ya dola 500,000 za Kimarekani (zaidi ya bilioni 1.2 za Kitanzania) ili kupata saini ya nyota huyo wa Yanga
Kagabo amesema watafikia katika Jiji la Johannesburg na ndipo upasuaji na matibabu yake yatafanyika