Mbappe ni Real Madrid au Manchester United!?
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24, amefunga mabao 212 na kuchangia mabao 98 katika michezo 260 tangu ajiunge na PSG kutoka Monaco,
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24, amefunga mabao 212 na kuchangia mabao 98 katika michezo 260 tangu ajiunge na PSG kutoka Monaco,
Baada ya Singida Big Stars kumaliza nafasi ya nne na kujihakikishi nafasi ya kushiriki michuano ya Afrika mwaka huu imewalazimu kuungana na Fountaine Gate
Kuondoka kwa kiungo huyo kutoka Azam FC kunaashiria mwisho wa historia kubwa katika maisha yake ya soka
Wakati huo huo, mgao wa pointi kwa ajili ya michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika CAF ni sawa,
Mkataba wa Nabi na Yanga umemalizika huku viongozi wa Yanga wakikiri mkataba huo umemalizika na wapo katika mazungumzo ya kumuongezea mkataba Mtunisia huyo.
maneno yake hayawezi kunitisha na nisingependa kuongelea anachokisema zaidi ya mimi kujikita kwenye maandalizi
Orebonye alijiunga na USM Algier katika usajili wa dirisha dogo akitokea timu ya Morocco Olympique Khouribga
Baada yakutwaa kombe hilo sasa Yanga kwa msimu huu imefanikiwa kutwaa mataji mataji matatu (Ngao ya Jamii, Ligi Kuu ya NBC na kombe la FA
Mtanirekebisha lakini kama Waarabu wakiendelea hivi wala hatupo mbali saaana kama nilivyokuwa nafikiria. Naruhusu maoni tofauti.
Mayele na Aziz Ki wataokusa mchezo wa fainali kesho dhidi ya Azam kwasababu wameitwa kwenye majukumu ya timu zao za Taifa.