Kidunda na Mfaume Kupima Uzito Leo Leaders Club
Promota wa pambano hilo, Fadhili Maogola alisema kuwa maandalizi ya kuelekea pambano hilo yamekamilika ambapo kesho
Promota wa pambano hilo, Fadhili Maogola alisema kuwa maandalizi ya kuelekea pambano hilo yamekamilika ambapo kesho
Inaaminika miongoni mwa sababu zilizowafanya Chiefs na Nabi kushindwa kuelewana na ni moja ya sharti la Nabi kutaka kwenda na wasaidizi wake
Katazo hilo limekuja baada ya shirikisho la soka duniani kuikuta Yanga na hatia ya kutotimiza masharti ya kifedha kwa kocha wake wa zamani
Sisi ndo tunatambua zaidi heshima ya Mkude kuliko mtu mwingine yeyote na tutamuaga kwa heshima hii
huenda akatambulisha ndani ya masaa 48 kutokea sasa baada ya yeye mwenyewe kukiri wapo katika hatua za mwisho za kukubaliana na Kaizer Chiefs
Klabu ya Simba ipo katika mazungumzo na nyota wa zamani wa Timu ya Taifa ya Brazil U-20
tumeachana nao, na tunawashukuru ninyi mashabiki wetu kwa hamasa na uvumilivu wakati wote.
Mara ya mwisho Migeul alionekana na klabu ya Ittihad Tanger kabla ya kuachana nayo April mwaka jana na sasa amejiunga na Wananchi
Nyota huyo yupo tayari kuachana na tim hiyo ili ajiunge na Simba huku pia akiwa ameshakataa kuongeza mkataba na Wacameroon hao
Tayari kikosi cha Simba kimeshaanza maandalizi ya kushiriki michuano hiyo huku wakiwa tayari wanajinasibu wameanza usajili mzito kuelelea mashindano hayo.