DRFA yaipongeza Simba SC.
Chama cha soka mkoa wa Dar es Salaam….Stori zaidi.
Chama cha soka mkoa wa Dar es Salaam….Stori zaidi.
Kocha mkuu wa Yanga, Mkongoman Mwinyi Zahera amewaomba….Stori zaidi.
Klabu ya soka ya KRC Genk anayocheza mtanzania….Stori zaidi.
Klabu ya soka ya Alliance School ya jijini….Stori zaidi.
Mabingwa wa soka nchini Simba Sports Club wameanza….Stori zaidi.
Shirikisho la soka nchini ‘TFF’ limendesha kliniki ya….Stori zaidi.
Timu zikiendelea kukimbizana na dirisha dogo la usajili, Ruvushooting pia yafanya yake.
Tanzania inatarajia kupokea ugeni wa wajumbe wa Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) kwa ajili ya kukagua miundo mbinu pamoja na kupanga makundi ya michuano Mataifa Afrika chini ya umri wa miaka 17 itakayofanyika mwakani hapa nchini.
Shirikisho la soka nchini TFF limethibitisha kuwa michezo miwili ya nyumbani ya African Lyon dhidi ya Simba na Yanga itafanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid uliopo Jijini Arusha.
Kocha wa timu ya Taifa ya Vijana chini ya Umri wa miaka 17 (Serengeti Boys) Oscar Mirambo ameushukuru Uongozi wa vyama vya soka ukanda wa Kusini kwa Afrika (COSAFA) kwa kuwaalika kushiriki mashindano ya Vijana ambayo Leo yanaingia hatua ya nusu fainali.