Kisa Bigirimana Blaise, Stand United wazitaka point tatu za Alliance.
Uongozi wa klabu ya soka ya Stand United….Stori zaidi.
Uongozi wa klabu ya soka ya Stand United….Stori zaidi.
Kocha mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amekubali ombi….Stori zaidi.
Yanga inatakiwa kufanya Uchanguzi, ingawa baadhi ya wanachama hawapotayari.
Ligi ya Wanawake Tanzania
Kocha wa timu ya soka ya Mbeya City ‘Wanakomakumwanya’ Ramadhan Nswanzurimo amesema hatoangalia rekodi ama michezo iliyopita watakapokwenda kucheza na Yanga siku ya Jumamosi kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.
Afisa Habari wa klabu ya soka ya Yanga Dismas Ten amesema maandalizi kuelekea katika mchezo wao wa Ligi dhidi ya Mbeya City yanaendelea vizuri na kwamba Kati ya wachezaji 20 ambao wamesafiri na timu hakuna ambaye anamajeraha yatakayomuweka nje ya mchezo huo.
Man Utd yaanza usajili kuimairisha kikosi chake.
Kocha wa timu ya soka ya Mashujaa ya….Stori zaidi.
Kikosi cha Azam kinatarajiwa kuondoka jijini Dar es….Stori zaidi.
Kikosi cha timu ya Vijana chini ya Umri….Stori zaidi.