Dady: Tanzania Prisons walitumudu.
Alama moja ambayo Alliance waliyoipata dhidi ya Tanzania Prisons kwenye uwanja wa Nyamagana imewafanya kufikisha alama 25
Alama moja ambayo Alliance waliyoipata dhidi ya Tanzania Prisons kwenye uwanja wa Nyamagana imewafanya kufikisha alama 25
Simba walishinda kwa jumla ya mabao 3-0 dhidi ya JS Saoura, Mabao yaliyofungwa na Emmanuel Okwi na Meddie Kagere.
pia amewahi kuichezea Leeds ya nchini Uingereza mwaka 1994 na 1996 akifunga mabao matano,
Popadic aliiwezesha Simba kutwaa mataji saba kati ya mwaka 1994 na 1996,
Mwisho wa makubaliano ni May 12 mwaka huu, huo ndio mpango A na Mpango B sisi hatuna Mpango C kuhusu hilo,
Misri iliomba uwenyeji sambasamba na Afrika Kusini mara tu baada ya Cameroon kupokonywa
Nyoni anaendelea na vipimo leo hapa Dar es Salaam na taarifa zaidi itatolewa kesho na Msemaji wa Klabu
Ikumbukwe kuwa bingwa wa michuano hii atapata nafasi ya kucheza na timu ya Everton kutoka nchini Uingereza katika tarehe ambayo itapangwa hapo baadae.
Amesema baada ya matokeo hayo sasa anajiandaa na mchezo ujao dhidi ya Singida United ambao anaamini vijana wake watajituma na kutafuta ushindi ili kuendelea kujiweka katika msimamo wa ligi.
Mchezo kati ya Tanzania Prisons na Mtibwa Sugar utafanyika kwenye uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya.