Juhudi za kumtafuta Emiliano Sala zaanza upya.
Tayari ndege za uokozi tano, pamoja na boti mbele zimejielekeza kuitafuta ndege hiyo kuzunguka sehemu ambayo ilipoteza mawasiliano.
Tayari ndege za uokozi tano, pamoja na boti mbele zimejielekeza kuitafuta ndege hiyo kuzunguka sehemu ambayo ilipoteza mawasiliano.
Kariobangi wamekata tiketi ya kucheza nusu fainali baada ya kuwachapa Yanga kwa mabao 3-2 leo kwenye uwanja wa Taifa katika michuano ya SportPesa Cup.
Yanga imeshindwa kwa mara nyingine kuingia hatua ya nusu fainali ya michuano ya SportPesa Cup baada ya kukubali kichapo cha mabao 3-2 kutoka kwa Kariobangi Sharks ya nchini Kenya.
Bao pekee la Stand United limefungwa na Jacob Massawe katika dakika ya 88,
Lipuli FC wamepata alama zote tatu wakicheza ugenini dhidi ya Wanatamtam Mtibwa Sugar.
Alliance wanashuka dimbani jumapili hii kucheza na Mbeya City kwenye uwanja wa Nyamagana wakitoka kupata alama moja dhidi ya Tanzania Prisons baada ya sare ya bao 1-1
Matukio ya unyanyasaji waandishi wa habari ni ya nadra sana Ghana
Kwa mujibu wa IFJ mara ya mwisho mwandishi kuuawa nchini Ghana ni mwaka 2015
Bao la Mbao FF limefungwa na kiuongo wa zamani wa Njombe Mji Raphael Siame katika dakika ya 72
Leslie amesema maelezo ya mwanadada huyo yanaweza kuwasaidia katika kesi yao ya ubakaji,
Amecheza michezo 54 kwenye timu ya Taifa ya Uholanzi akifunga mabao nane, pia aliwahi kuwa kwenye kikosi hicho kilichocheza mchezo wa fainali na Uhispania katika kombe la dunia mwaka 2010.