Mchezaji wa zamani wa Barcelona na timu ya Taifa ya Argentina Gerald Pique na mlinzi wa Liverpool na Uholanzi Virgil van Dijk hawakuwahi kuvaa jezi za mikoni mifupi katika mechi na hata mazoezini.
Mara zote huonekana wakiwa wamevalia jezi za mikono mirefu. Tayari Pique amestaafu soka akizitumikia Barcelona na Manchester United wakati Virgil bado anasakata kandanda.