Sambaza....

Kipa mwenye magoli mengi ni Rogerio Ceni, kipa wa zamani wa Sao Paulo na timu ya taifa ya Brazil alifunga mabao 131 katika maisha yake yote ya soka, akiwa amecheza mechi 882.


Sambaza....