Sambaza....

Vinara wa ligi kuu soka Tanzania bara Simba sc, imemteua mshambuliaji wake John Bocco kuwa nahodha mpya wa kikosi cha wekundu hao wa msimbazi, Bocco anachukuwa nafasi iliyoachwa wazi na Method Mwanjale ambaye alitemwa katika usajili wa dirisha dogo

Name
John R. Bocco
Utaifa
tanTanzania
Nafasi
Mshambuliaji
Urefu
183cm
Sasa
JKT Tanzania SC
Zamani
Azam FC, Simba SC
Ligi
Ngao ya Jamii, Klabu Bingwa Afrika Kundi D, TPL
Misimu
2022-2023, 2024-2025, 2008-2009, 2023-2024, 2009-2010, 2010-2011, 2011-2012, 2012-2013, 2013-2014, 2014-2015, 2015-2016, 2016-2017, 2017-2018, 2018-2019, 2019-2020, 2020-2021, 2021-2022

Ngao ya Jamii

MsimuTimu
Jumla-

Klabu Bingwa Afrika Kundi D

MsimuTimu
2022-2023Simba SC0000000
2021-2022Simba SC0000000
Jumla-0000000

TPL

MsimuTimu
2022-2023Simba SC9010010
2008-2009Azam FC1000000
2023-2024Simba SC2000000
2009-2010Azam FC14000000
2010-2011Azam FC12000000
2011-2012Azam FC19000000
2012-2013Azam FC7000000
2013-2014Azam FC7000000
2014-2015Azam FC2000000
2015-2016Azam FC12000000
2016-2017Azam FC10000000
2017-2018Simba SC14000000
2018-2019Simba SC16000001
2019-2020Simba SC9000000
2020-2021Simba SC0000000
2021-2022Simba SC3000000
Jumla-137010011

Taarifa ya klabu hiyo imesema kuwa, hatua ya kumpa unahodha John Bocco ni maamuzi ya benchi la ufundi linaloongozwa na kocha Masoud Djouma huku yakipata baraka kutoka kwenye uongozi wa juu wa klabu hiyo pamoja na Bocco, pia mlinzi wa pembeni wa kikosi hicho Mohammed Hussein “Tshabalala” yeye atakuwa nahodha msaidizi

Sambaza....