Sambaza....

Klabu ya soka ya Sevilla fc ya kutoka Hispania tayari imewasili Tanzania tayari kabisa kucheza mchezo wa kirafiki katika dimba la Kwa Mkapa siku ya tarehe 23.

Sevilla walioletwa nchini ni Sportpesa wanakuja kucheza na mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba Sports Club mchezo wa kirafiki wa kimataifa nchini.

Sambaza....