Sambaza....

Uongozi wa Simba SC kupitia kwa mwekezaji wa klabu hiyo Mohammed Dewji ‘Mo’ umeahidi kutoa shilingi milioni 150 kwa wachezaji 28 na bechi la Ufundi iwapo klabu hiyo itafanikiwa kuifunga As Vita Club jumamosi kwenye mchezo wa mwisho wa klabu bingwa Afrika.

Simba itakuwa ikipambana na AS VITA siku ya jumamosi katika uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

Bofya kiunngo hiki hapa chini ili kwenda katika ukurasa wa mechi hiyo

2 - 1
Uwanja wa Mkapa

Simba SC vs AS V.Club


Sambaza....