Msimu wa Ligi Kuu uliohusisha timu ishirini (20) kwa mara ya kwanza ulimalizika kwa Simba Sc kutawazwa mabingwa huku Meddie Kagere akichukua kiatu cha ufungaji mabao ishirini na tatu (23).
Timu ya Wachambuzi na Waandishi wa Kandanda imeandaa kikosi bora cha Kandanda.co.tz kwa msimu wa Ligi Kuu 2018/19. Unaweza kutupa maoni yako au kukipigia kula hapo chini.
[poll id=”16″]