Sambaza....

Hat-Trick ya haraka zaidi (Southampton vs Aston Villa) ni ile ya Sadio Mane mwaka 2015 akiwa na Southampton.

Mane alifunga hat-trick (mabao matatu) ndani ya dakika 2 na sekunde 56.2.

Sadio Mane akifunga goli lake lake la kwanza katika dakika ya 13.
Goli la Pili
Goli la tatu.

Sambaza....