Sambaza....

Ligi kuu Tanzania bara inazidi kuendelea kwa kasi huku Simba akionekana ana njaa ya kulichukua tena kombe hili.

Pamoja na njaa iliyopo kwa Simba , Yanga msimu huu imejitahidi kujiimarisha vya kutosha ili kupambana na Simba.

Yikpe

Katika harakati za kujiimarisha zaidi Yanga imejikuta ikiweka rekodi kubwa. Yanga imeweka rekodi ya kusajili wachezaji 22 ndani ya msimu mmoja. Orodha ya wachezaji waliosajiliwa msimu huu wa 2019/2020 na Yanga ni kama ifuatayo.

1. Sadney
2. Kalengo
3.Bigirimana
4. Balinya
5. Sibomana
6. Molinga
7. Moro
8.Ally Sonso
9. Ally Ally
10. Mwarami
11. Makame

Makame akijianda kurusha mpira

12. Balama
13. Shikalo
14. Metacha
15. Yikpe
16. Taliq
17. Niyonzima
18. Morrison                               19:Kabamba
20.Nchimbi
21.Mustapha
22.Adeyum

Sambaza....