Sambaza....

Harakati za kuijenga Yanga kwenye dirisha dogo la usajili zinaendelea kwa kasi kubwa. Jana tumeshuhudia Ditram Nchimbi akisaini na klabu hiyo Leo hii pia Yanga wanafanya kitu ambacho ni kufuru.

Mshambuliaji toka Ivory Coast , Yikpe Gramien amewasili Dar es Salaam na kupokelewa na mkurugenzi wa mashindano ya Yanga  . Mshambuliaji huyo ambaye alikuwa anacheza Gor Mahia anatazamiwa kusaini mkataba Leo na klabu hii kubwa hapa Tanzania.

Sambaza....