Sambaza....

Kwa misimu miwili Simba ndio anaongoza kwa kupachika mabao mengi zaidi katika Ligi kuu ya Tanzania, sasa ikiitwa Vodacom Premier League. 

Simba imefunga mabao 139 katika ya 1,140 yote yaliyofungwa na timu za Ligi kuu msimu 2017/18 na 2018/19.

Na ameshaanza kufunga tena….


Msimu 2017/18 Magoli 424, Simba 62, Azam 35, Yanga 44

Msimu wa 2018/19 Magoli 716, Simba 77 yanga 56 na Azam 54


#KandandaCoTz inakupa hizi nondo zote

Sambaza....