Ruvu Shooting waiumiza pabaya Yanga SC.
Timu zikiendelea kukimbizana na dirisha dogo la usajili, Ruvushooting pia yafanya yake.
Timu zikiendelea kukimbizana na dirisha dogo la usajili, Ruvushooting pia yafanya yake.
Kuwa na Boban, Mrisho Ngassa, Kelvin Yondan,Thaban Kamusoko, Amis Tambwe, Deus Kasekeni faida kubwa kwa Zahera. Kazi kwake.
Shirikisho la soka nchini TFF limethibitisha kuwa michezo miwili ya nyumbani ya African Lyon dhidi ya Simba na Yanga itafanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid uliopo Jijini Arusha.
Klabu ya soka ya Azam imewapa mapumziko wachezaji….Stori zaidi.
Habari ambazo zimeenea na viongozi wa Yanga kuwa na kigugumizi kuthibitisha ni kuwa kiungo wa African Lyon na aliyewahi kuchezea Simba, Haruna Moshi “Boban” kuwa amesajiliwa na klabu ya Yanga.
Klabu ya soka ya African Lyon imesema haiwezi kuzungumza lolote kuhusu kuondoka kwa Haruna Moshi Boban ambaye anahusishwa na kujiunga na Yanga SC Kwani bado hawana uhakika na usajili huo na zingine.
MABINGWA mara 27 wa kihistoria wa ligi kuu….Stori zaidi.
Kuna wengine watakumbuka sanaa ambayo alikuwa akiionesha uwanjani,….Stori zaidi.
Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa….Stori zaidi.
Tovuti yetu ta kandanda.co.tz imeendelea na utaratibu wake….Stori zaidi.