Zahera awapa ‘tano’ mashabiki.
“Nawashukuru na kuwapongeza mashabiki waliofanikisha timu kwenda kwa….Stori zaidi.
“Nawashukuru na kuwapongeza mashabiki waliofanikisha timu kwenda kwa….Stori zaidi.
KUELEKEA mchezo wao wa 18 msimu huu katika ligi kuu Tanzania bara msimu huu nahodha wa Yanga SC, Kelvin Yondan ‘Vidic’ amesema watapambana kama timu katika game yao vs Mbeya City FC wiki hii.
Usajili wake wala haukuwashtua wengi, haitoshi, mchezo wake wa kwanza akiwa na jezi za Yanga SC alijifunga na kusababisha penati Agosti, 2017.
Kwanini pia Nyika alisema Ilanfya alihitaji Tsh. 25 wakati ukweli mchezaji huyo alihitaji milioni kumi tu?
Katika ulimwengu wa Soka, ukisikia jina la “Jose Mourinho” kuna picha nyingi zinakujia kichwani, napicha hizo zinategemeana na jinsi unavyomkumbuka mreno huyo kwa kile alichoifanyia timu yako au kwa jinsi unavyolijua soka la dunia tangu akiwa Fc Porto na vilabu vingine.
Kocha mkuu wa Yanga, Mkongoman Mwinyi Zahera amewaomba….Stori zaidi.
Siku ya jana nilizama kwa mawazo ya maswali ambayo majibu yake hadi muda huu sijayapata, anaandika Matukuta JR,
Tumekukusanyia mambo 10 ambayo kocha mkuu wa klabu ya Yanga ameyazungumza kwa masikitiko sana. Tupe maoni yako pia katika sehemu ya maoni.
Yanga wa Njaa kali saana ya Ubingwa kuliko Pesa? Soma makala hii
Baada ya Yanga kumwambia Beno hahitajiki tena katika klabu hiyo.