Yanga Yavunja Kabati, Yaweka Rekodi kwa Mkapa,
Pia walitoka Sure boy na Mzize na nafasi zao zilichukuliwa na Aucho pamoja na Aziz Ki hivyo kufanya wachezaji wote kucheza.
Pia walitoka Sure boy na Mzize na nafasi zao zilichukuliwa na Aucho pamoja na Aziz Ki hivyo kufanya wachezaji wote kucheza.
Tayari klabu ya Yanga imeshatambulisha wachezaji wao wapya pamoja na jezi mpya lakini hii bado haiondoi shauku kwa mashabiki
Gamondi atapata kipimo halisi kutoka kwa Amakhosi ambao nao wamepania kufanya vyema msimu ujao baada ya kumaliza nje ya nne bora msimu uliomalizika.
Sisi ni klabu kubwa nchini Afrika Kusini yenye mashabiki wengi. Ni wazi mashabik wanaifuata klabu popote inapokwenda.
Hata hivyo imefahamika Yanga walimkosa mchezaji wake chaguo la kwanza Ranga Chivaviro, ambaye Kaizer Chiefs ilimnyakua
Hakuna wa kulaumiwa, bali muda. Muda unafurahisha na Muda unahuzunisha. Hizo Ndio tabia za Muda.
Kocha huyo mwenye umri wa miaka 58 ataiongoza klabu hiyo kutetea taji linalotamaniwa la Botola Pro
Alli Kamwe sambamba na kutangaza viingilio lakini pia alisema Wananchi wa Mwanza watapa fursa ya kupiga picha na makombe yao matatu.
Yanga imekidhi vigezo kitaifa na kimataifa na ndio maana tunashirikiana nao
Nitakupa mikasa ya huyu mzee (Babu yake na Jonas) Mzee Masharubu ni Simba kweli kweli. Kuna mambo mawili yametokea Mzee Masharubu akiwa amelala zake kaburini