Wachezaji 11 mbao wangekuwa bora zaidi kama wasingesaini ( Yanga SC na Simba SC)
Fuatilia uchambuzi wangu wa wachezaji 11, ambao wangekuwa bora zaidi kama wasingejiunga na vilabu vya Yanga SC na Simba SC.
Fuatilia uchambuzi wangu wa wachezaji 11, ambao wangekuwa bora zaidi kama wasingejiunga na vilabu vya Yanga SC na Simba SC.
Ikumbukwe katika usajili wa msimu uliopita Tp-Mazembe walikua wakimnyemelea Ajib lakini ikaonekana wameshindwa kuafikiana katika dau .
Tazama hapa msimamo baada ya mchezo wa leo.
Kutoa zaidi ya milioni 80 kwa mchezaji kama Ajib sawa, lakini je, mchezaji huyo ataongeza ubora gani mpya katika safu ya washambuliaji kama John Bocco, Meddie Kagere na Emmanuel Okwi.?
Nani kuibuka bingwa wa ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2018/2019? Simba, Yanga au Azam? Ingia upige kura yako na utoe maoni pia.
Magoli ya Lipuli yalifungwa na Paul Nonga na mshambuliaji aliyeitwa kwa mara kwanza katika kikosi cha Stars, Miraj Athumani.
Lipuli fc imefanikiwa kuifunga Yanga sc na kukata tiketi ya kwenda fainali kumenyana na Azam fc mkoani Lindi baada ya kuifunga mabao mawili kwa sifuri.
Kwa habari za ndani Heritier Makambo ameuzwa kwa dau nono huku timu anayokwenda ikiwa haijawekwa wazi bado.
Ilikuwa Simba wacheze na Yanga ili kufahamu nani atacheza na Sevilla lakini baada ya kuangalia mambo kadhaa wamekubaliana na SportPesa kuwa Simba ndio wanaopaswa kucheza na timu hiyo kutoka Uhispania.
Safu ya ushambuliaji ya Simba Sc hakika ipo moto, mpaka sasa imeshafunga mabao 44 katika michezo 27 pekee ya Ligi kuu Tanzania bara.