Singano kwenda Yanga?
Tetesi hizi zimetua katika meza ya Uhamisho ya Kandanda, endelea kufuatilia kujua hatma yake.
Tetesi hizi zimetua katika meza ya Uhamisho ya Kandanda, endelea kufuatilia kujua hatma yake.
Kiujumla hadi sasa Yanga imesaini vizuri wachezaji wapya na kikosi hicho kinaonekana kinaweza kurejesha ubingwa waliopoteza kwa misimu miwili mfululizo kwa mahasimu wao Simba.
Ngassa ambaye alifunga magoli saba katika ligi kuu Tanzania Bara msimu uliopita ni kati ya wachezaji ambao mkuu wa benchi la ufundi la klabu bingwa hiyo ya kihostoria nchini, Mwinyi amependekeza kuongezewa
Katika mabadiliko yajayo ya katiba na uendeshwaji wa Yanga, tunataka kujua pia mtazamo wa mashabiki wa Yanga.
Sitaki kuzungumzia kuhusu ubora wa Kindoki kama ana faa au hafai lakini kikubwa ni kutaka kumkumbusha kocha wa makipa wa Yanga, Pondamali, swala hili.
Kuachwa kwa wachezaji hawa ‘mastaa vijana’ kutoka klabu kubwa nchini za Simba na Yanga kunapaswa kuwafumbua zaidi kimchezo vijana hao kama kweli wanataka kufikia malengo yao makubwa.
Inawezekana baada ya kupata uhakika wa kucheza Ligi ya Mabingwa msimu ujao? Mambo ni moto sasa katika usajili katika vilabu hivi viwili.
Ongezeko ya timu karika mashindano itazipa nidhamu ya ushindani kwa timu zote katika mashindano yote mawili.
Kwa upande fulani, hizi tambo za mashabiki wa Simba, Yanga inawabidi tu wavumilie. Kwakuwa walitakiwa kufanya vizuri katika miaka yote waliyoshiriki.
Michuano hiyo itafanyika katika nchi ya Rwanda ambapo Yanga atakuwa kama timu mwalikwa kwenye michuano hiyo.