Viwanja vya Afrika huwa havina watazamaji wengi kiasi cha kuwatisha wageni. Yanga imezoea kucheza viwanja vya ugenini vyenye mashabiki waliojaa mpaka pomoni ligi kuu, hivyo si rahisi kutishwa na idadi kiduchu wa mashabiki wa Rollers.
Kandanda haijakuacha nyuma pia, kama ilivyo utaratibu wetu tutaendelea kukuletea ratiba, matokeo bila kusahau wafungaji bora wa kila mwezi wa Ligi Kuu.
Inacheza vizuri, ina wachezaji bora kwenye kila idara. Kwa kifupi Simba inafanya vizuri ndani na nje ya uwanja.
Huwezi kujiita mwekezaji wakati hutaki kuwekeza hata kwenye hamasa ya mashabiki. Wachezaji huitaji hamasha ili kujituma zaidi.
Yanga imeweka kambi Morogoro, ikijiandaa na mechi za Ligi kuu na Mabingwa wa Afrika, pamoja na maandalizi ya Wiki ya Mwananchi ambalo linalenga kuitaambulisha timu kwa wananchi.
Yanga bado ipo katika maandalizi ya msimu wa Ligi Kuu Tanania bara na michuano mingine ya kimataifa. Nani anafaa kuwa nahodha wa timu?
Simba watacheza na Township Rollers wapinzani wa kimataifa wa Yanga katika mchezo wa awali. Baada ya hapo watacheza dhidi ya Platnumz FC, Mamelodi Sundowns, Kaizer Chiefs.
Hii ni biashara kubwa sana, biashara ambayo imenifanya nijifikirishe leo asubuhi kama pesa za Makambo , Yanga wamezipata au la!.
Vilabu vinaweza kuwa na utaratibu ambao umekubalika wa kupunguza utegemezi, na kuangalia zaidi kushinda na kuwekeza zaidi kwa lengo hilo hilo la kupunguza utegemezi.
YANGA SC bado wanahitaji huduma ya kiungo wa pembeni, Deus Kaseke ambaye mkataba wake unataraji kumalizika rasmi mwishoni mwa mwezi huu.