Kifo cha Jeba ni funzo kwa jamii ya ‘Watu wa mpira’
Jamii ya watu wa mpira inabidi iwe inaangalia masuala ya wachezaji katika pande zote, sio uwezo tu..afya ni muhimu.
Jamii ya watu wa mpira inabidi iwe inaangalia masuala ya wachezaji katika pande zote, sio uwezo tu..afya ni muhimu.
Klabu kubwa za Simba na Yanga hupoteza fedha nyingi kutokana na kukosa miundombinu ya msingi wanayoimiliki wenyewe katika soka.
Mapinduzi alijibadili mara tatu kimajukumu, kwanza alikuwa beki wa kulia, Yanga inaposhambuliwa, na haya ndiyo yaliyokuwa majukumu yake ya msingi, Jukumu la pili ni kucheza kama
Mpwa ngoja nikushike sikio kabla hujaanza kusoma, ukiwa mchezoni jua hadi kipa ana nafasi ya kufunga? Chukua hiyo kwanza, sasa makumi 9 yangeleta bao 3?
Katika ziara ya mechi za kirafiki zilizochezwa Mwanza , Molinga “Falcao” amefanikiwa kufunga magoli 3 katika mechi mbili alizocheza, goli lake la kwanza alilifunga dhidi ya Pamba fc na jana amefanikiwa kufunga magoli mawili dhidi ya Toto Afrika katika mchezo ambao Yanga wamefunga goli 3-
Kwenye michuano ya msimu huu, Simba wameondoshwa kwenye hatua ya awali dhidi ya UD Songo ya Msumbiji kwa goli la ugenini
Kama Simba wasingekuwa na miluzi mingi kwake inawezekana ndio angekuwa muarobaini wao katika ulinzi hivi sasa. Tena wangempata kiunafuu.
Simba imefunga mabao 139 katika ya 1,140 yote yaliyofungwa na timu za Ligi kuu msimu 2017/18 na 2018/19.
Nilipigiwa simu kutoka Congo wakati huo nikiwa Ufaransa kuwa David Molinga hana timu
Kipindi haya yote yanatokea, kumbe Msimamo wa TFF ulikuwa na kasoro, Kumbe Kagera Sugar ilibidi ndio wakacheze Playoff na Stand United Washuke daraja jumla jumla…Tff bhana we acha tu.