SIMBA ndiyo Baba lao, yaifunika YANGA
Leo Simba imeonesha kuwa ndiyo baba lao Baada….Stori zaidi.
Leo Simba imeonesha kuwa ndiyo baba lao Baada….Stori zaidi.
Jana Yanga ilikuwa na mechi kwenye uwanja wa….Stori zaidi.
James Kotei anaonekana kuwa katika wakati mgumu Baada ya timu yake ya Kaizer Chiefs kuachana naye . Kuachana na mchezaji huyo kunamfanya awe huru kusajiliwa na timu yoyote kwa makubaliano binafsi.
Ikumbukwe katika usajili wa dirisha kubwa msimu huu Yanga ilikua imesajili washambuliaji wa kigeni tupuu huku kukiwa hakuna mzawa hata mmoja.
Maahabiki wa Yanga sasa waambiwa watulie tu kwanza, timu yao ilikuwa si ya Kimataifa.
“Kwa sasa acha yabaki maneno ya mitandaoni lakini..”.
Yanga haina matokeo mazuri katika mechi ilizocheza.
Kesho Yanga watawakaribisha Pyramid FC ya Misri kwenye michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika.
Wewe je mwanakandanda unaamini uwekezaji mkubwa katika mpira wa miguu sio chachu ya mafanikio? Soma hii kwanza…
Mambo yanaendelea kupamba moto katika jiji la Mwanza.
Tatizo lilikuwa uzito , na kwa sasa amepungua kwa asilimia kubwa kwa hiyo kuanzia kesho David Molinga ataanza rasmi ligi kuu