Hajji Manara: Simba ni kama Liverpool
Tunaongoza kwa alama 16 ili Yanga atufikie tunatakiwa tupoteze michezo mitano, sasa Sheikh Simba hii inafungwaje michezo mitano? Tutakua wapi? Au tutakua tumelewa au tumelala?
Tunaongoza kwa alama 16 ili Yanga atufikie tunatakiwa tupoteze michezo mitano, sasa Sheikh Simba hii inafungwaje michezo mitano? Tutakua wapi? Au tutakua tumelewa au tumelala?
uatilia matukio katika picha wakati wa mechi kati ya Yanga na Kagera, mchezo ambao ulikuwa ni wa kwanza kwa Luc Eymael
Eneo hili limeficha sana uwezo wake halisi. Uwezo ambao alitakiwa auoneshe Katika eneo lingine kabisa.
Hawa ni aina ya wachezaji ambao walikuwa wanafunga kwa kutokea pembeni , aina ya mchezo wa Yanga.
Leo kulikuwa na mchezo wa ligi kuu kati….Stori zaidi.
Wanasema nyuma ya mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke, gia ya Kotei inaelekea kubadilikia angani sababu ya hili..
Yanga imeshatoka kwenye michuano ya kombe la mapinduzi,….Stori zaidi.
“Tuko kwenye mazungumzo mazuri ya kuvunja mkataba na David Molinga , mpaka sasa hivi mazungumzo yetu yamefikia sehemu ambayo ni nzuri.”
Baada ya kuwepo na tetesi kuhusu James Kotei….Stori zaidi.
Yanga yaishukuru SMZ kwa kuandaa mashindano ya Mapinduzi…..Stori zaidi.