Yanga imempoteza mazima Mzamiru?
Je makosa ya kusababisha goli katika mchezo ule ndio yamemfanya kukosa nafasi katika kikosi cha Wekundu hao?
Je makosa ya kusababisha goli katika mchezo ule ndio yamemfanya kukosa nafasi katika kikosi cha Wekundu hao?
Sifa yake kubwa ni kutembea juu ya….Stori zaidi.
Kwenye maandalizi ya msimu huu kwenye hafla kubwa….Stori zaidi.
“Mashabiki wanakuja uwanjani kuona timu yao inashinda, ndio maana wanalipa viingilio…”
Klabu ya Yanga tayari imeshaitisha mkutano wa dharula ambao utafanyika mwezi ujao (Februari), mabadiliko yanaichukua iliko Simba Sc?
Baada ya kauli hiyo TFF ikaamua kuipa kamati ya maadili maagizo juu ya mlinda mlango huyo kinda.
Zimebaki asilimia 10 tu kwa Libya kuipiku Tanzania….Stori zaidi.
Ligi kuu Tanzania bara inazidi kuendelea kwa kasi….Stori zaidi.
Kuna wakati Yanga walimwihitaji sana Emmanuel Okwi. Uzuri ni kwamba wakati huo ndiyo ulikuwa wakati ambao Yanga wangefanya chochote bila klabu yoyote kuizuia Yanga.
Nchimbi ameiambia tovuti ataendelea kusaka mabao kadri ya nguvu za Mungu zitakavyomruhusu kuweza kufanya vyema na kutupia magoli. Huku pia akiahidi kuendelea kufunga “Hatrick” katika VPL.