Yanga haichezi REDE inacheza MPIRA -NUGAZ
Jana kulikuwa na mechi ya ligi kuu Kati….Stori zaidi.
Jana kulikuwa na mechi ya ligi kuu Kati….Stori zaidi.
Katika michezo ya leo ya raundi ya 22 Simba, Azam fc na Yanga zote zimeshuka dimbani leo.
Jana mtandao wa kandanda.co.tz ulikuwa na Mwinyi….Stori zaidi.
Aliyewahi kuwa kocha mkuu wa klabu ya….Stori zaidi.
Jana Mwinyi Zahera alipata nafasi ya kufanya….Stori zaidi.
Jana kulikuwepo na mchezo kati ya Yanga na Mbaya City katika uwanja wa Taifa . Mchezo ambao ulichezwa siku ambayo Yanga ilikuwa inasherehekea miaka 85 tangu ianzishwe.
Pamoja na kwamba Kocha mkuu wa Yanga kuonekana kusikitishwa na kiwango cha waamuzi katika mchezo wa jana dhidi ya Mbeya City ambao ilimalizika kwa sare ya 1-1 kocha huyo amegusia kuhusu safu mbovu ya ushambuliaji.
Hii ni makala ya shabiki wa Yanga kutoka katika mitandao ya kijamii, tunaiwasilisha katika wakati huu Yanga ikisheherekea miaka 85 tangu kuanzishwa kwake.
Yanga iliingia ligi daraja la kwanza rasmi mwaka 1948 ligi wakati huo ikiongozwa na chama cha soka mkoa wa Pwani tu.
Slavia fc inayoshiriki Ligi Kuu nchini Belarus ikishika nafasi ya 8 ikiwa na alama 13 katika timu 16.