Sipendekezi uwanja wa Taifa kuitwa KWA MKAPA!
Tumkumbuke kupitia hospitali ya kimataifa ya Dodoma, tumkumbuke kupitia barabara na pia tumkumbuke kuwa ndiye aliyejenga huu uwanja lakini tuvae miwani ya kibiashara.