Yanga Wameloa Taifa, Vita Kuhamia Algeria.
Wananchi sasa wana kibarua kigumu chakupindua matokeo katika mchezo wa fainali ya pili utakaopigwa Jijini Algiers nchini Algeria siku ya June 3
Wananchi sasa wana kibarua kigumu chakupindua matokeo katika mchezo wa fainali ya pili utakaopigwa Jijini Algiers nchini Algeria siku ya June 3
Shabiki ni mtu anayependa kitu au jambo na kulifuatilia na Soka ndo mchezo pendwa zaidi ulimwenguni hivyo una mashabiki na wafuatiliaji wengi.
Akiongea na waandishi wa habari makao makuu ya klabu ya Yanga, Jangwani Haji amesema kuwa ili uweze kupata tiketi unahitaji kuwa na N-card ambayo gharama yake ni 1,000 na gharama ya tiketi ni 5,000.
Miaka 30 imepita tangu nchi hii ikaribie kubeba kombe la Afrika, mara ya mwisho ilikua ni 1993 sasa fikiria nchi imekaa muda wote huo bila kufika fainali.
Matajiri hao wa Misri wanatumia uwanja wa 30 June wanawajua vizuri Yanga kwani tayari walishakuka nchini kucheza na Wananchi na walifanikiwa kuwaondosha Yanga katika Playoffs ya Kombe la Shirikisho
Kocha mkuu wa timu ya Soka ya Gor….Stori zaidi.
Mabingwa wa soka kutoka nchini Rwanda wameungana na….Stori zaidi.
Yanga SC, wameanza vibaya hatua ya makundi ya….Stori zaidi.
Leo hii wawakilishi wetu katika michuano ya kimataifa….Stori zaidi.