AFCON 2027, Tutafaidika Pakubwa
Baada ya Miaka 51 Kombe la Mataifa ya Afrika linarudi tena katika ukanda wa Afrika Mashariki, baada ya kufanyika nchini Ethiopia.
Baada ya Miaka 51 Kombe la Mataifa ya Afrika linarudi tena katika ukanda wa Afrika Mashariki, baada ya kufanyika nchini Ethiopia.
Stars watashuka dimbani nchini Algeria kusaka alama moja tu ambayo itawafanya kufuzu katika kundi hilo sambamba na Algeria na kuwaacha Uganda na Niger
Mwisho tutasema Am Sorry and Thank You Uganda. Ni ngumu lakini inawezekana. Let’s go Taifa Stars.
Kwa Tanzania sasa inatafuta kufuzu kwa mara ya tatu na mara ya mwisho kushiriki michuano hiyo ilikua ni mwaka 2019 ambapo tuliaga mashindano katika hatua ya makundi
Michezo miwili iliyobaki ya Tanzania ni ule wa nyumbani unaofwata dhidi ya Niger na wa mwisho ugenini dhidi ya vinara Algeria ambao wameshafuzu.
Kikubwa kesho tunatakiwa tupambane ili tuweze kukaa vizuri kwenye kundi letu maana timu zote bado zina nafasi ya kusonga mbele na kufuzu
nafasi zao zilizibwa na Dickson Job na Novatus Dismas ambao kiasili si walinzi wa pembeni licha ya kucheza vyema katika mchezo huo wa ugenini.
Vijana wa Micho sasa wako mkiani mwa Kundi F wakiwa na pointi moja kutoka kwa pointi tisa baada ya michezo mitatu
Uganda wanakwenda kucheza michezo miwili dhidi ya mahasimu wao Tanzania ambapo itawalazimu kucheza michezo yote nje ya kwao Uganda
Vipers Fc, klabu kutoka Uganda masaa mawili yaliyopita imetangaza kuachana na kocha wao mkuu, Robertinho Oliveira Gonçalves do Carmo (1960).