Mazembe Mpya Itafanikiwa!?
Kuanzia benchi la ufundi mpaka usajili wa wachezaji wapya umeongeza kitu ndani ya timu
Kuanzia benchi la ufundi mpaka usajili wa wachezaji wapya umeongeza kitu ndani ya timu
Kwa upande wa Simba hii ni nafasi nyingine yakuandika historia katika michuano hii mipya ya vigogo wa Afrika
Tayari kikosi cha Simba kimeshaanza maandalizi ya kushiriki michuano hiyo huku wakiwa tayari wanajinasibu wameanza usajili mzito kuelelea mashindano hayo.
Kwa ushidi huo sasa Yanga inaongoza kundi lake mbele ya US Monastir ya Tunisia huku ikiwaacha Real Bamako na TP Mazembe ikitolewa katika mashindano hayo.
Nae nyota wa Yanga aliyehusika katika magoli mengi zaidi katika hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika Kenedy Musonda amesema wanajua malengo yao wao kama wachezaji
Yanga wakiwa uwanja wa ndege wa Julius Kambarage Nyerere walishuhudia safari yao ikisogezwa mbele zaidi ya mara mbili na mpaka wanaanza safari
Kupitia mchezo huo Arafat Haji amesema wanauchukua mchezo wa muhimu kwani wanataka kuionyesha Afrika Yanga ni timu ya aina gani na hawataki kupoteza uongozi wa kundi lao.
Mchezo wa mwisho wa kundi hilo Yanga watamalizia ugenini Congo dhidi ya Mazembe hivyo ni vyema leo wakamalizana na Monastir wakiwa nyumbani Kwa Mkapa na kufuzu robo fainali.
Ama kwa hakika Simba ana wakati mgumu zaidi kufuzu ukilinganisha na Yanga ingawa kila kitu kinawezekana katika soka.
Simba si tu hawana alama lakini pia hawajafunga bao lolote mpaka sasa katika michuano hiyo hivyo mchezo wa Vipers unatarajiwa kuwa mgumu na wakufufua matumaini yao yakufuzu robo fainali ya Klabu Bingwa Afrika.