Kagera Sugara yashuka rasmi daraja
Timu ambayo ilikuwa inasubiriwa kushuka daraja kuungana na African Lyon imepatikana rasmi. Kagera Sugar ya Kagera imeshuka rasmi baada ya kutoka sare moja kwa moja na Mbao.
Timu ambayo ilikuwa inasubiriwa kushuka daraja kuungana na African Lyon imepatikana rasmi. Kagera Sugar ya Kagera imeshuka rasmi baada ya kutoka sare moja kwa moja na Mbao.
Mpaka sasa hivi African Lyon ndiyo timu pekee ambayo hatutokuwa nayo kwenye ligi kuu msimu ujao.
Watu wengi wa mji wa Bariadi mkoani Simiyu, wamekuwa wakiwaona Stand United wakitokea kwenye njia ambayo Gamboshi ipo.
Michezo ya nusu fainali ya Azamsports FederationCup tayari….Stori zaidi.