Wachezaji Wazawa Wanakwamishwa Ama Wanajikwamisha Wenyewe?
Wageni popote pale duniani wamekuwa wakipewa nafasi kubwa ya kuonyesha walichonacho kutoka kwao pengine ni sababu hatuwajui vema
Wageni popote pale duniani wamekuwa wakipewa nafasi kubwa ya kuonyesha walichonacho kutoka kwao pengine ni sababu hatuwajui vema
mwaka huu 2023 aliazimwa kwa muda maalum Taifa Stars wakati wa mechi dhidi ya Uganda zote mbili
Timu kubwa haipaswi kuwa na wachezaji waliopishana sana ubora. Kunahitajika kuwepo namba moja, mbili au tatu kwa vile hawawezi kudaka wote kwa mchezo
Kwa usajili wa ndani kuna quality gani iliyo nje ya Simba na Yanga kwa fullback inayomzidi Kibabage ?!. Hakuna
Mwanahabari huyo wa habari za michezo huyo kutoka Rwanda ameonyesha kushangazwa na usajili huo
Halafu watu wa Uturuki wamefurahi kusikia tunaenda wamesema tumelipa heshima Taifa lao,
Kufeli kwa baadhi ya sajili katika ligi yetu sio la Tanzania pekee kwani wapo baadhi ya wachezaji wakubwa husajiliwa na kushindwa kufanya vizuri
Hassan Dilunga alijiunga na Simba katika msimu wa 2018/2019 akitokea Mtibwa Sugar alikofanya vyema.
Shida iliyopo wana Simba hawana muda wa kumsubiri mtu.
Wana Simba wanakimbia hivyo hawapo tayari kuongozana na mtu anaetembea
Kambi ya Nasraddine Nabi imethibisha kusikitishwa na kitendo cha Kazier Chiefs kumtangaza kocha mpya licha ya kukaa katika makubaliano kwa muda mrefu