Jinsi Kibegi cha Simba Kilivyoleta Maajabu.
kibegi cha Simba kuelekea kilele cha mlima Kilimanjaro ndio hamasa kubwa ya utalii kuwahi kufanyika nchini.
kibegi cha Simba kuelekea kilele cha mlima Kilimanjaro ndio hamasa kubwa ya utalii kuwahi kufanyika nchini.
Simba wameweka Kambi Uturuki kwaajili ya maandalizi ya Michuano ya kimafaifa, nini sababu kuu ya kutoka nje ya nchi mara kwa mara.
Ni ngumu kushinda kikombe ukiwa hauna kipa imara anayeweza kukupa pointi 15 yeye binafsi katika msimu mmoja.
Ni kadi ambazo zitakutambulisha kama shabiki wa Simba lakini pia zitatumika katika matumizi ya kawaida ya kibenki
Simba wamesema rasmi tarehe 21 jezi zao zitapatikana madukani kote na pia wametangaza siku itayofanyika Simba Day.
Nitakupa mikasa ya huyu mzee (Babu yake na Jonas) Mzee Masharubu ni Simba kweli kweli. Kuna mambo mawili yametokea Mzee Masharubu akiwa amelala zake kaburini
Simba ni klabu kubwa iliyoleta heshima katika nchi hii, nawapongeza wachezaji na viongozi kwa kazi nzuri waliyoifanya.
Post ya MO ni post iliyokwenda kuvirudisha vitu nyuma baadhi ya vkwa kiasi. Inavunja watu moyo.
Malone pia ni mchezaji bora wa Ligi ya Cameroon akitoka kutwaa tuzo hiyo Ijumaa ya wiki iliyopita anaejulikana kwa jina la utani “Ukuta we Jeriko”
Michezo ya Ngao ya jamii huchezwa kwa kumaanisha kuukaribisha msimu mpya wa Ligi na hivyo ni wazi bodi ya ligi wapo mbioni kutoa ratiba ya Ligi