Robertinho: Nimeandaa Timu Kuifunga Yanga Mabao Mengi.
Yanga na Simba wanakwenda kukutana katika mchezo huo baada ya Simba kumfunga
Yanga na Simba wanakwenda kukutana katika mchezo huo baada ya Simba kumfunga
Rahisi! Ngao ya Jamii siku ya kesho dhidi ya Young Africans naona Ally Salim akipata nafasi golini.
Japo bado sina hakika kama anauwezo mkubwa katika kuwakabili washambuliaji wenye kasi.
Mwingine atajiuliza kivipi ilihali tunaona yamefana kwelikweli? Basi nikutoe shaka Kandanda.co.tz iko hapa kukutoa wasiwasi huo;
Katika michezo miwili waliyokutana msimu uliopita wawili hao Simba alipata ushindi nyumbani na sare ugenini dhidi ya walima alizeti hao.
Lakini pia maelezo ya utangazaji na urushaji wa moja kwa moja wa michezo ya Super League bado hazijatangazwa rasmi.
Kama Wananchi watapa matokea ya ushindi katika mchezo huo utakaopigwa Jumatano usiku basi watakwenda fainali
Ama kwa hakika mashabiki wa Lunyasi wamewaona wachezaji wao wapya waliokua na kiu ya kuwatazama baada ya kusajiliwa na klabu yao.
Kuhusu kujaza uwanja kwao sio shida zao sababu ni jambo rahisi sana kwa Simba na Tamasha lao
Wengi wanasema, Mchezaji anaweza kuwa Bora katika Timu Fulani, lakini akawa Mbovu katika Timu Nyingine; tena Bila sababu za Msingi..falsafa yetu ni ipi?