Sio Pesa Wala Sio Muda, Vyote Bado Sio Sahihi kwa Msuva
Muda wa dirisha la usajili ndio huu na tayari tetesi zipo kuhusishwa kuelekea Kariakoo
Muda wa dirisha la usajili ndio huu na tayari tetesi zipo kuhusishwa kuelekea Kariakoo
Utakuwa usajili ghali tangu nchi yetu ipate Uhuru. Lakini nisijidanganye, siioni timu ya kufanya maajabu haya
Mojawapo mashaka kwenye uwezo wake vijiwe vyetu vya ‘gahawa ‘ vina maswali lukuki kwanini atoke kule
Mabao mawili ya Mtibwa Sugar yameonekana kumkera Mbrazil huyo na hakusita kuonyesha kusikitishwa kwake
Huu ndio ubora ambao Simba SC walihitaji kwenye eneo la kiungo na ubora wenyewe ndio Fabrice Ngoma
Tunahitaji kucheza soka safi na kushinda, hilo ndilo lengo letu
Hii ni faida kwa soka letu. Kibiashara hapa tunaweza kupata wawekezaji wengine kutokea Kaskazini.
Kama Yanga angeshinda leo maana yake angekua ametwaa Ngao mara tatu mfululizo tena mbele ya Simba.
Ni uvumilivu wa Gamondi ama jeuri ya Robertinho? Ni mizimu ya Maradona ama malaika wa Pele?
Gamondi aliyeiongoza Yanga katika michezo miwili dhidi ya Kaizer Chiefs na Azam Fc