Simba; Tumejiandaa Tunajua Hisia Zenu!
Nae kocha mkuu wa Simba Robert Oliveira ambae ameifunga Yanga mara mbili mwaka huu amesema anajua ni mchezo mgumu
Nae kocha mkuu wa Simba Robert Oliveira ambae ameifunga Yanga mara mbili mwaka huu amesema anajua ni mchezo mgumu
Uwepo wa uwekezaji mkubwa katika Ligi yetu umewavutia wachezaji wao ambao wapo nchini lakini pia sababu za kifedha
Hili lilimfanya msemaji wa Simba kutokulinyamazia na kumualika kocha huyo mazoezini pia.
Kwanza Moses Phiri anaondokaje Simba. Simba ni sehemu ya wachezaji kutimiza malengo yao,
Simba mpango wao ukafanikiwa wakapata goli lakini pia ndio wapo hatarini. Kwanini?
Je Simba atazimudu kelele za mashabiki elfu 75 kwa dakika zote 90? Unafikiri Simba wachezeje ili wapate ushindi? Kikosi je?
mchezo mkubwa lakini hana presha yoyote akiwa amekiandaa kikosi chake kupambana dakika 90 mbele ya wazoefu Ahly.
Tunahitaji mpango wa mafanikio wa timu zetu kipitia vipaji vya wachezaji wengi ambao wanasajiliwa.
Tumeamua kulipokea soka na uwekezaji ni mkubwa huku sasa unalipa.
Kuna makipa wamewahi kupata nafasi za kuwa makipa wa kwanza baada ya makipa tegemeo kuumia