Kidunda na Mfaume Kupima Uzito Leo Leaders Club
Promota wa pambano hilo, Fadhili Maogola alisema kuwa maandalizi ya kuelekea pambano hilo yamekamilika ambapo kesho
Promota wa pambano hilo, Fadhili Maogola alisema kuwa maandalizi ya kuelekea pambano hilo yamekamilika ambapo kesho
Promota wa pambano hilo kutoka PAF Promotion Company Limited alisema kuwa wanatarajia kufanya vipimo vya afya kabla ya pambano
maneno yake hayawezi kunitisha na nisingependa kuongelea anachokisema zaidi ya mimi kujikita kwenye maandalizi
Kwanza tunashukuru Mungu maandalizi ya pambano letu la hata usipo lala pata kucha yanaendelea vizuri na matarajio yetu ni kuona tunaenda kuijaza Mlimani City
Lakini siyo Kidunda peke yake wapo na wakali wengine ambao watapanda ulingoni kuonyesha ufundi wa mchezo wa ngumi, raia yetu bado tunaomba wapinzani wajitokeze kwa wingi
Tony atapanda ulingoni katika pambano hilo kutetea mkanda wake wa Ubingwa wa Afrika ABU ambao alishinda mwaka jana kufuatia kumchapa kwa pointi Bongani Mahlangu wa Afrika Kusini.
pambano hilo linalotarajia kupigwa Februari 24, mwaka huu kwenye Ukumbi wa Ubungo Plaza sambamba na Tony Rashid atakayepanda ulingoni kutetea mkanda wake wa Ubingwa wa ABU dhidi ya Sabelo Ngabinyana wa Afrika Kusini.