Saidoo Ntibazonkiza Ndie Usajili Bora Msimu Huu.
Maana yake kungekuwa na tuzo kwenye eneo ya “nominee” aliyenoga zaidi huwenda pia ingekwenda kwake pia mambo ya Paris France hayoo.
Maana yake kungekuwa na tuzo kwenye eneo ya “nominee” aliyenoga zaidi huwenda pia ingekwenda kwake pia mambo ya Paris France hayoo.
Ni kweli katika Ligi kuna viungo wengi wengine wazuri na bora kama kina Aziz Ki, Clatous Chama, James Akamiko, Feisal Salum na Sixtus Sabilo lakino wote hao hawamfikii Saidoo
Kabla ya mpira kwenda mapumziko Namungo walichomoa bao hilo kupitia kwa Salum Kabunda aliyenufaika na makosa ya Ally Salim kwa kushindwa kuuokoa mpira wa kona vyema uliopigwa na Shiza Kichuya.
Vita ya Simba na Ihefu ni kama bado haijakwisha kwani siku tatu mbele yaani tarehe kumi watakutana tena mkoani Mbeya Mbarali
Tumejiandaa vizuri japo bado tuna uchovu wa safari lakini kwetu haitakua sababu.
Katika hatrick zote sita ni Jean Baleke ndio ameweka rekodi tofuati katika ufungaji wake mpaka sasa.
Simba watajilaumu wenyewe kwa kutoka na ushindi mwembamba kwani walitengeneza nafasi nyingi za kufunga lakini hawakuzitumia
Pia kwakumpanga Saidoo namba 10 halafu Chama winga moja na winga nyingine huanza Sakho, ambapo mara nyingi Chama huingia ndani na kumfanya Shomary Kapombe au Mohamed Hussein kupanda na kushambulia kwakutokea pembeni na hapa ndio tatizo lapili huonekana.
Kiungo wa Simba aliojiunga nao katika dirisha dogo akitokea Geita Gold ndio mchezaji aliehusika katika mabao mengi zaidi [mabao 20].
Kikosi cha Yanga kipo kambini kamili gado tayari kabisa kumvaa Mnyama katika mchezo wa kisasi kwa upande wao