Uongozi Simba Haudaiwi, Kocha Ajiandae
Rahisi! Kilichobaki sasa ni kocha kutengeneza timu imara zaidi kupitia wachezaji waliopo na waliosajiliwa
Rahisi! Kilichobaki sasa ni kocha kutengeneza timu imara zaidi kupitia wachezaji waliopo na waliosajiliwa
Kikosi cha Wekundu wa Msimbazi kimejichimbia nchini Uturuki kujiandaa na michuano ya Kitaifa na Kimataifa lakini kubwa zaidi ni michuano mipya ya Super Cup
Matarajio ya kila shabiki na mpenzi wa Simba ni kuona timu yao inarudi katika anga za ushindani na kufanya vizuri
Ni lazima mchezaji bora awe mchezaji aliyefunga mabao mengi? Au ni lazima awe mchezaji aliyehusika na mabao zaidi? Au mchezaji bora anapatikana vipi, vipi kwa upande wa walinzi ama walinda mlango?
Nae kiungo wa pembeni wa Simba Pape Osmane Sakho akiongea kwa niaba ya wachezaji wa Simba amesema wao kama wachezaji wapo tayari kupambana ili kutimiza ndoto yakufuzu nusu fainali.
Tulipoteza nyumbani dhidi ya Raja Casablanca lakini tumekuja na mbinu mpya ambazo tunaamini zitatusaidia. Tunataka kutumia uwanja wa nyumbani kumaliza mechi
Kocha huyo Mbrazil amesema kwa upande wake kandanda ni sanaa na burudani hivyo anapenda kuwaburudisha mashabiki kiwanjani akiwa na wachezaji wake bora.
Nae kocha wa Simba Robertinho Oliveira amesema walipata ushindi juzi lakini huu ni mchezo mwingine wa Ligi ambao wanahitaji kuwa bora.
Baada ya ushindi huo sasa Mnyama Simba atakutana na Azam Fc katika nusu fainali ya michuano hiyo ya FA
Fainali ya mwaka huu itafanyika mkoani Tanga wakati michezo ya nusu fainali itafanyika Singida na Mtwara.