Tshishimbi: Sijasajiliwa As Vita.
Papy Kabamba Tshishimbi alishindwa kuongeza mkataba na Yanga kutokana na kutokukubaliana kila pande hivo akaamua kurudi kwao Congo.
Papy Kabamba Tshishimbi alishindwa kuongeza mkataba na Yanga kutokana na kutokukubaliana kila pande hivo akaamua kurudi kwao Congo.
Waswahili hutumia neno “Gundu” kwa kuashiria bahati mbaya, kukosa bahati ama mkosi, ndicho unachoweza kusema kwa timu zote mbili Simba na Yanga kuelekea mchezo wao wa nusu fainali wa Azam Sports Federation Cup.
Klabu ya soka ya Yanga imekanusha taarifa zinazoenea….Stori zaidi.
Hapa ndipo umuhimu wa Papy Kabamba Tshishimbi unapokuja, inawezekana Bernard Morrison ni mchezaji hatari lakini Papy Kabamba Tshishimbi ndiye mchezaji.
Hata yule Morrison akija Simba ni lazima aanze kwanza kugombania nafasi na wachezaji wengine.”
Inaaminika Simba walitenga dola 40,000 ili kupata saini yakelakini yeye akaamua kusaini Yanga kwa dola 25,000 tu.
Simba wameonyesha matamanio na kiungo huyo Mkongo huku msemaji wao Hajji Manara akikiri hadharani kuhusudu uwezo wake akisema ni moja ya “box to box midfielder.
Mapinduzi alijibadili mara tatu kimajukumu, kwanza alikuwa beki wa kulia, Yanga inaposhambuliwa, na haya ndiyo yaliyokuwa majukumu yake ya msingi, Jukumu la pili ni kucheza kama
Kiungo mahiri wa Yanga sc, Papy Tshitshimbi amechaguliwa….Stori zaidi.